Naibu Waziri wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Paul Makonda, ameitaka timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) kuhakikisha inafanya vizuri katika michezo miwili iliyosalia ya AFCON ili kulinda heshima ya taifa licha ya kupoteza mchezo wa kwanza dhidi ya Nigeria.Akizungumza na wachezaji baada ya mchezo kati ya Taifa Stars na Nigeria (Super Eagles ) uliochezwa nchini Morocco na kumalizika kwa Stars kufungwa mabao 2-1, Makonda alisema kuwa licha ya matokeo hayo, wachezaji wameonyesha kiwango kizuri cha uchezaji na moyo wa...
Read More