Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Prof. Palamagamba Kabudi amesema wizara hiyo ina mchango katika msingi wa umoja na mshikamano wa Taifa unaosaidia kuleta maendeleo ya kijamii na Taifa kwa ujumla.Mhe. Kabudi amesema hayo Novemba 18, 2025 jijini Dodoma alipowasili katika wizara hiyo mara baada ya kuapishwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kuiongoza wizara hiyo."Mhe. Rais imempendeza kuturudisha kumsaidia katika wizara hii ambayo kwa ukubwa wake, ameteua Naibu Mawaziri wawili. Ni lazima t...
Read More