Msajili wa Vyama vya Siasa, Mhe. Jaji Francis Mutungi akizungumza leo Oktoba 12, 2024 jijini Dodoma wakati wa mafunzo kwa vyama hivyo yaliyotolewa na ofisi hiyo kuhusu uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji unaotarajiwa kufanyika Novemba 27, 2024.
Read More