Majaliwa Azungumza na Watumishi wa Halmashauri za Mpanda, Nsimbo na Tanganyika Mkoani Katavi
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Watumishi wa Halmashauri za Mpanda, Nsimbo na Tanganyika mkoani Katavi kwenye ukumbi wa Mpanda Social Hall, Disemba 12, 2022. Kushoto ni Naibu Waziri, Ofisi ya Rais TAMISEMI, Dkt. Festo Dugange.
Waziri...
Dec 13, 2022