Habari Katika Picha: Waziri Mkuu Akutana na Rio Ferdinand
May 20, 2026
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba akiwa na Mchezaji wa zamani wa Timu ya Taifa ya Uingereza na Klabu ya Manchester United, Rio Ferdinand ambaye amefanya nae mazungumzo ofisini kwake leo Mei 20, 2026 Jijini Dodoma.
Mazungumzo hayo yameshuhudiwa na Viongozi wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Shirikisho la mpira wa Miguu Tanzania.
Na
Administrator