Ujerumani Yaipatia Tanzania Msaada wa Shilingi Bilioni 210
Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu lameck Nchemba (Mb) akisaini nyaraka za makubaliano ya msaada wa Shilingi bilioni 210 ambazo Ujerumani imeipatia Tanzania kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ya sekta za afya, maji, utalii, mazingira, uta...
Nov 18, 2022