Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Matukio katika Picha: Rais Samia Awasili Arusha kwa Ziara ya Kikazi
Nov 21, 2025
Matukio katika Picha: Rais Samia Awasili Arusha kwa Ziara ya Kikazi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasili katika Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Kilimanjaro (KIA) na kupokelewa na viongozi mbalimbali, tayari kuelekea Arusha ambako kesho, tarehe 22 Novemba, 2025, atatunuku Kamisheni kwa Maafisa wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) katika Chuo cha Mafunzo ya Kijeshi Monduli (TMA).
Na Administrator

 

 

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi