Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu), Mhe. William Lukuvi akizungumza leo Oktoba 11, 2024 wakati akifungua kikao cha dharura cha Baraza la Vyama vya Siasa kinachofanyika mjini Dodoma chini ya Mwenyekiti wake Juma Khatibu (hayupo pichani).
Read More