Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza alipozindua Studio za Kidijiti za Radio za Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), barabara ya Nyerere jijini Dar es salaam, Aprili 20, 2024. Kulia ni Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye na kushoto ni Mtangazaji wa TBC, Taifa Mwamini Andrew
Read More