Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (katikati) akiwa kwenye Mkutano wa Dharura wa Utatu wa Kamati ya Mawaziri wa Asasi ya Siasa, Ulinzi, na Usalama uliofanyika jijini Harare, Zimbabwe tarehe 19 Novemba 2024.
Read More