Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) na Msemaji Mkuu wa Serikali, Bw. Thobias Makoba (kulia) akiwa katika picha ya pamoja na Kaimu Mkurugenzi wa ofisi za Idara ya Habari (MAELEZO) Zanzibar, Bi. Asha Juma Khamis baada ya kumaliza ziara katika ofisi za Idara zanzibar leo Oktoba 25, 2024 mjini Unguja .
Read More