Na; Frank Mvungi
Serikali imewakikishia wanachi kuwa azma ya kuwapatia huduma ya majisafi na salama kwa asilimia 85 kwa maeneo ya Vijijini na asilimia 95 kwa wananchi waishio mijini ifikapo 2020.
Akijibu swali la mbunge wa viti maalum Mhe. Maria Ndilla Kangoye, Naibu Waziri wa Maji Mhe Jumaa Aweso amesema kuwa dhamira hiyo inaendelea kutekelezwa ambapo utekelezaji wake kwa upande wa vijijini kupitia program ndogo ya Huduma ya Maji Vijijini na usafi wa Mazingira.
“Kufikia mwezi Septemba, 2018 jumla ya miradi 1,595 imekamilika, Serikali ina...
Read More