Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Majaliwa Ahutubia Katika Kilele cha Maadhimisho ya Maadili na Haki za Binadamu
Dec 10, 2018
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_38728" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapteni (mstaafu), George Mkuchika katika Kilele cha Maadhimisho ya Maadili na Haki za Binadamu Kitaifa kwenye Kiwanja cha Nyerere Square jijini Dodoma, Desemba 10, 2018[/caption] [caption id="attachment_38729" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza katika Kilele cha Maadhimisho ya Maadili na Haki za Binadamu Kitaifa kwenye Kiwanja cha Nyerere Squre jijini Dodoma, Desemba 10, 2018.[/caption] [caption id="attachment_38730" align="aligncenter" width="750"] Wananchi wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipozungumza katika Kilele cha Maadhimisho ya Maadili na Haki za Binadamu Kitaifa kwenye Kiwanja cha Nyerere Square jijini Dodoma, Desemba 10, 2018.[/caption] [caption id="attachment_38731" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Katiba na Sheria, Profesa Paramagamba Kabudi (katikati ) na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapteni (mstaafu), George Mkuchika baada ya kuhutubia katika Kilele cha Maadhimisho ya Maadili na Haki za Binadamu Kitaifa kwenye Kiwanja cha Nyerere Square jijini Dodoma, Desemba 10, 2018.[/caption] [caption id="attachment_38732" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Katiba na Sheria, Profesa Paramagamba Kabudi baada ya kuhutubia katika Kilele cha Maadhimisho ya Maadili na Haki za Binadamu Kitaifa kwenye Kiwanja cha Nyerere Square jijini Dodoma, Desemba 10, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)[/caption]  

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi