[caption id="attachment_37898" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Utalii na Maliasili, Dkt. Hamisi Kigwangalla, akijibu swali la Mbunge wa Tabora Mjini mheshimiwa Emmanuel Mwakasaka, kwa niaba ya Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto mheshimiwa Ummy Mwalimu leo bungeni. Waziri Kigwangala amejibu maswali ya wabunge kwa mara ya kwanza baada ya kutokuwepo bungeni kwa muda wa miezi mtatu kutokana na kupata ajali eneo la Magugu mkoani Arusha mwezi Agosti mwaka huu.[/caption]
[caption id="attachment_37897" align="alig...
Read More