Na. Thobias Robert
Taasisi ya Kiislam ya The Registered Trustees of Masjid Ridhwaa (RTMR), imedhamiria kuanzisha Chuo Kikuu mahsusi kwa ajili ya kuwaandaa vijana wa Kitanzania kujiajiri tofauti na ilivyo sasa kwa baadhi ya vyuo kuandaa wahitimu wanaotegemea kuajiriwa.
Akizungumza na waandishi wa Habari Jijini Dar es Salaam leo, Mwenyekiti wa bodi ya wadhamini wa Taasisi hiyo, Alhaj Suleiman Seif Nassor, alisema lengo na dhumuni la taasisi yake ni kuanzisha Chuo Kikuu kitakachoendana na zama hizi za kidijitali za kuzalisha wataalam watakaow...
Read More