[caption id="attachment_5437" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu akifafanua jambo katika moja ya mikutano yake. (Picha na: Maktaba)[/caption]
Na: Lilian Lundo
Serikali kupitia Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imeanzisha rejesta ya wanaohisiwa kuwa na ugonjwa wa kifua kikuu itakayowekwa katika kila ngazi ya utoaji wa huduma za Afya hapa nchini.
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu ameyasema hayo, leo Mji...
Read More