[caption id="attachment_5826" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Tawala za Mikoa na Serikari za Mitaa (TAMISEMI) George Simbachawene akikata utembe ikiwa ni ishara ya uzinduzi wa Rejista mpya ya wanaohisiwa kuwa na Kifua kikuu ambayo itaanza kutumika kwenye vituo vyote vya kutolea huduma, wakati wa Mkutano wa mwaka wa Waganga wa Wakuu wa Mikoa na Wilaya unaoendelea Mjini Dodoma, Kushoto ni Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Hamisi Kigwangwalla[/caption]
[caption id="attachment_5827" align="alig...
Read More