[caption id="attachment_6895" align="aligncenter" width="750"] Rais Mtaafu wa Awamu ya Nne Jakaya Kikwete (kulia) akimfariji Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe wakati alipofika kumpa pole kwa msiba wa mke wa Waziri huyo mapema hii leo nyumbani kwake Kunduchi jijini Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_6898" align="aligncenter" width="750"] Spika mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Anne Makinda (kulia) akiwafariji baadhi ya wafiwa wakati alipofika kumpa pole Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe kwa msiba wa mke wake mapema hii leo nyumbani kwake Kunduchi jijini Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_6899" align="aligncenter" width="750"] Rais Mtaafu wa Awamu ya Nne Jakaya Kikwete (katikati) akiagana na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe mara baada ya kumpa pole kwa msiba wa Mke wa Waziri huyo mapema hii leo nyumbani kwake Kunduchi jijini Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_6904" align="aligncenter" width="750"] Mkuu wa Mkoa wa Dar e s Salaam Paul Makonda (kushoto) akiteta jambo na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe wakati wa msiba wa mke wa Waziri huyo mapema hii leo nyumbani kwake Kunduchi jijini Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_6905" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt. Hussein Mwinyi (kulia) akiteta jambo na Spika mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Anne Makinda wakati walipofika kumpa pole Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe kwa msiba wa Mke wake mapema hii leo nyumbani kwake Kunduchi jijini Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_6910" align="aligncenter" width="750"] Msanii wa muziki wa Kizazi kipya Naseeb Abdul maarufu kama Diamond Platnumz (kulia) akimpa mkono wa pole Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe kwa msiba wa Mke wake mapema hii leo nyumbani kwake Kunduchi jijini Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_6913" align="aligncenter" width="750"] Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje Benard Membe (kulia) akimpa pole Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe kwa msiba wa Mke wake mapema hii leo nyumbani kwake Kunduchi jijini Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_6916" align="aligncenter" width="750"] Aliyekuwa Waziri wa Maliasili na Utalii Lazaro Nyarandu (kulia) akimpa pole Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe kwa msiba wa Mke wake mapema hii leo nyumbani kwake Kunduchi jijini Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_6922" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe (wa pili kulia) akiteta jambo na Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Philip Mpango wakati walipoenda kumpa pole Waziri Mwakyembe kwa msiba wa Mke wake mapema hii leo nyumbani kwake Kunduchi jijini Dar es Salaam, kulia ni aliyekuwa Waziri wa Maliasili na Utalii Lazaro Nyarandu na kushoto ni aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje Benard Membe.[/caption] [caption id="attachment_6925" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe (kulia) akiteta jambo na Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Philip Mpango wakati alipoenda kumpa pole Waziri Mwakyembe kwa msiba wa Mke wake mapema hii leo nyumbani kwake Kunduchi jijini Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_6926" align="aligncenter" width="750"] Mbunge wa Bagamoyo Dkt. Shukuru Kawambwa akimpa pole Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe kwa msiba wa Mke wake mapema hii leo nyumbani kwake Kunduchi jijini Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_6931" align="aligncenter" width="750"] Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhandisi Stella Manyanya akimpa pole Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe kwa msiba wa Mke wake mapema hii leo nyumbani kwake Kunduchi jijini Dar es Salaam. (Picha na Eliphace Marwa)[/caption]