Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Uchimbaji na Uchotaji Mchanga Kiholela Wasitishwa
Jul 17, 2017
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_6880" align="aligncenter" width="750"] Eneo la mto Nyakasangwe lililogeuzwa kuwa Dampo na wakazi wa eneo hilo lililopo katika kata ya Bunju. (Picha na Evelyn Mkokoi)[/caption] [caption id="attachment_6882" align="aligncenter" width="750"] Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. Luhaga Mpina akizungumza na vyombo vya habari baada ya kukamilika kwa zoezi la kukagua mto Nyakasangwe uliopo katika kata ya Bunju ulioharibiwa vibaya na uchimbaji wa mchanga.[/caption] [caption id="attachment_6883" align="aligncenter" width="750"] Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. Luhaga Mpina akizungumza na vyombo vya habari baada ya kukamilika kwa zoezi la kukagua mto Nyakasangwe, uliopo katika kata ya Bunju ulioharibiwa vibaya na uchimbaji wa mchanga.[/caption] [caption id="attachment_6886" align="aligncenter" width="750"] Kushoto Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. Luhaga Mpina akimsikiliza Mwandishi wa Habari wa kituo cha Radio cha Efm kinachopatikana katika masafa ya 93.7 katika jiji la Dar es Saalam alipokuwa akimuuliza maswali kuhusu uchafuuzi wa mazingira utokanao na uchimbaji wa mchanga katika eneo la Boko.[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi