[caption id="attachment_7096" align="alignnone" width="750"] Mwenyekiti Mstaafu wa Chama cha Maafisa Habari na Mawasiliano Serikalini (TAGCO) Bw. Innocent Mungy akimpa vitendea kazi Katibu wa Chama hicho Bw. Abdul Njaidi kama ishara ya makabidhiano rasmi ya Uongozi wa chama hicho yaliyofanyika leo Jijini Dar es Salaam.[/caption] [caption id="" align="aligncenter" width="750"] Mwenyekiti Mstaafu wa Chama cha Maafisa Habari na Mawasiliano Serikalini (TAGCO) Bw. Innocent Mungy akiteta jambo na Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Habari-MAELEZO Bw. Rodney Thadeus wakati wa hafla ya makabidhiano ya Uongozi wa chama hicho, Kushoto ni Katibu wa Chama hicho Bw. Abdul Njaidi[/caption] [caption id="attachment_7090" align="aligncenter" width="750"] Katibu wa Chama cha Maafisa Habari na Mawasiliano Serikalini (TAGCO). Bw. Abdul Njaidi akiwaonesha katiba ya Chama Mweka hazina wa Chama Bw. Gerald Chami (kushoto), Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Habari-MAELEZO Bw. Rodney Thadeus (watatu kulia), Mwenyekiti aliyemaliza muda wake Bw. Innocent Mungy na Mwekahazina aliyemaliza muda wake Bw. Peter Millanzi, wakati wa hafla hiyo leo Jijini Dar es Salaam.[/caption]
(Picha na Fatma Salum-MAELEZO)