[caption id="attachment_6793" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa, akizungumza na Mkuu wa Chuo cha Reli cha Tabora Eng. Richard Lauwo (kulia), wakati alipotembelea chuoni hapo jana katika ziara yake ya kikazi mkoani humo. Kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Tabora, Mwalimu Queen Mlozi. (Picha na: Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano)[/caption]
Na: Tiganya Vincent, RS-Tabora
WAKUFUNZI wametakiwa kutumia lugha zinazosaidia wanachuo kujengeka kimaadili badala ya kuwakatisha tamaa kwa...
Read More