[caption id="attachment_8241" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza Mwanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM Hadija Juma mara baada ya kusoma ujumbe ulioandikwa kwenye sare aliyovaa mama huyo katika eneo la Hale mkoani Tanga. (Picha na: Ikulu)[/caption] [caption id="attachment_8251" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Mkata wakati alipokuwa njiani kuelekea mkoani Tanga kwa ajili ya ziara ya kikazi.[/caption] [caption id="attachment_8240" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na mmoja ya wakazi wa Hale mkoani Tanga mara baada ya kuhutubia katika eneo hilo.[/caption] [caption id="attachment_8237" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Mkuu wa Mkoa wa Tanga Martin Shigela kabla ya kuwahutubia wananchi wa Hale mkoani Tanga.[/caption] [caption id="attachment_8234" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa waliosimama pembeni ya barabara kuu ya Chalinze Segera katika eneo la Kwa mkonga wakati akiwa njiani kuelekea Tanga.[/caption] [caption id="attachment_8235" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa Kabuku Handeni mkoani Tanga.[/caption] [caption id="attachment_8233" align="aligncenter" width="750"] Viongozi mbalimbali wa mkoa wa Tanga akiwemo Wabunge na wakuu wa Wilaya wakipiga makofi wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli alipokuwa akihutubia Mkata mkoani Tanga.[/caption] [caption id="attachment_8230" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia mkono wananchi wa Mkata waliosimama pembeni ya barabara kuu ya Chalinze-Segera (hawaonekani pichani) mara baada ya kumaliza kuhutubia katika kijiji cha Mkata mkoani Tanga.[/caption] [caption id="attachment_8224" align="aligncenter" width="750"] Wananchi wa Muheza wakimpokea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli mara baada ya kufika katika eneo hilo la mjini akiwa njiani kuelekea Tanga.[/caption]