Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Tanzia
Aug 02, 2017
Na Msemaji Mkuu

TANZIA

Mbunge wa Hanang Bi. Mary Nagu anasikitika kutangaza kifo cha Mume wake mpendwa Profesa Joseph Tarmo Nagu kilichotokea 30/07/2017 katika Hospital ya Taifa Muhimbili (MNH) Dar es Salaam.

Mazishi yanatarajiwa kufanyika nyumbani kwao Endasak, Hanang siku ya Alhamis tarehe 03/08/2017,  Saa Tano Asubuhi. Habari ziwafikie ndugu, jamaa na marafiki wote waliopo Hanang, Morogoro, Dar es Salaam, Babati na wote wanaomfahamu.

Kwa taarifa zaidi wasiliana na;

Ndugu Malkias Mombo kwa simu namba: 0787241215 na 0757060107

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi