Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa na mkewe Mary wakiweka shada la Maua kwenye kaburi la Linah George Mwakyembe, mke wa Waziri wa Habari, Utamaduni,Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe katika mazishi yaliyofanyika leo Kyela Mkoani Mbeya. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa na mkewe Mary wakitoa heshima za mwisho kwa marehemu, Linah George Mwakyembe, mke wa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe katika mazishi yaliyofanyika leo Kyela Mkoani Mbeya. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu...
Read More