[caption id="attachment_8216" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu, Kazi, Vijana Ajira na Watu Wenye Ulemavu) Jenista Mhagama (Mb) akisisitiza jambo pamoja na Balozi wa Vietnam Bw. Nguyen Kim Doanh Ofisini kwake, Jijini Dar es Salaam leo.[/caption] [caption id="attachment_8217" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu, Kazi, Vijana, Ajira na Watu Wenye Ulemavu) Jenista Mhagama (Mb) akizungumza na Balozi wa Vietnam Bw. Nguyen Kim Doanh kuhusu ushirikiano baina ya nchi ya Vietnam na Tanzania Ofisini kwake, Jijini Dar es Salaam leo. Kulia ni Msaidizi wa Balozi Bw. Ton Ho Tri Dzung.[/caption] [caption id="attachment_8218" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu, Kazi, Vijana, Ajira na Watu Wenye Ulemavu) Jenista Mhagama (Mb) akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Vietnam Bw. Nguyen Kim Doanh baada ya mazungumzo yao, Ofisini kwake Jijini Dar es Salaam leo. (Picha na: Francisca Swai, OWM)[/caption]