Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Waziri Mkuu Akutana na Ujumbe wa Unicef na UNDP
Aug 02, 2017
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_8176" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na Mwakilishi wa Unicef nchini Tanzania, Bibi Maniza Zaman alipotembelea Ofisini kwake leo Jijini Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_8177" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akutana na Mwakilishi Mkazi wa Unicef nchini Tanzania Bibi Maniza Zaman kwa mazungumzo ya kikazi yaliyofanyika Ofisni kwake leo Jijini Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_8179" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na Mwakilishi mkazi wa UNDP nchini Tanzania Bwana Alvaro Rodriguez , wakati walipo mtembelea Ofisini kwake Magogoni Dar es Salaam kwa mazungumzo ya kikazi, katikati ni Mwakilishi wa Unicef nchini Tanzania Bi. Maniza Zaman. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi