Rais Dkt. Mwinyi Akutana na Kuzungumza na Uongozi wa Taasisi ya Mwanamke Initiative Ikulu Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Mwanamke Initiitive, Bi. Sabra Ali Mohammed, akitoa maelezo ya shughuli zinazofanywa na Taasisi hiyo, walipofika Ikulu...
Nov 23, 2022