[caption id="attachment_13866" align="aligncenter" width="750"] Mhadhiri Mstaafu wa Taasisi ya Kimataifa inayotoa elimu ya masuala ya kijamii (The International Institute of Social Studies (ISS), kutoka nchini Uholanzi, Prof. Leo de Haan, akitoa mhadhara kuhusu masuala ya umuhimu wa mipango katika jamii kabla ya kuzinduliwa rasmi kwa Kitabu cha Mwongozo kwa Wanamipango (Planners Handbook), Toleo la Pili, tukio lililofanyika katika Chuo cha Mipango ya Maendeleo Vijijini-Dodoma.[/caption]
Benny Mwaipaja, Dodoma
Naibu Waziri wa Fedha na Mipango,...
Read More