Na: Prisca Libaga - Maelezo/ Arusha.
RAIS wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, ametoa kiasi cha Shilingi milioni 260 kwa ajili ya ujenzi wa nyumba mpya za askari wa Jeshi la Polisi Wilaya ya Arusha,zilizoungua Septemba 27 majira ya saa moja usiku na kusababisha familia 14 zenye watu 44 kukosa mahali pa kuishi.
Mkuu wa jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro, amesema mbali na fedha za rais pia jeshi la Polisi limetoa Shilingi milioni 40 kwa ajili ya ujenzi wa nyumba hizo ambazo ujenzi wake unatarajiwa kukamilika mw...
Read More