[caption id="attachment_20392" align="aligncenter" width="750"] Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Angelina Mabula(kushoto) akikagua mfumo mpya wa ukusanyaji kodi ya ardhi katika Manispaa ya Kinondoni wakati wa ziara yake ya kukagua ukusanyaji kodi kwa halmashauri nchini ambapo sasa ameanza na Mkoa wa Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_20393" align="aligncenter" width="750"] Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe.Angelina Mabula(katikati) akikagua baadhi ya Nyaraka za umilikishaji ardhi kwa Manispaa ya Kinondoni ambapo alitembelea kwa ziara yake ya kukagua ukusanyaji kodi ya ardhi kwa kutumia mfumo mpya kwa halmashauri zote nchini ,alipoingia katika masjala ya Manispaa hiyo leo Jijini Dar es Salaam kulia ni Mbunge wa Jimbo la Kinondoni Mhe.Maulid Mtulia na kulia ni Maafisa wa ardhi katika manispaa hiyo.[/caption] [caption id="attachment_20395" align="aligncenter" width="750"] Naibu Waziri wa Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe.Angelina Mabula(wa pili kushoto) akieleza jambo kwa watumishi wa Ardhi wa manispaa ya kinondoni(hawapo pichani) katika ziara ya kukagua mfumo mpya wa ukusanyaji kodi katika halmashauri za Mkoa wa Dar es Salaam, wa kwanza kushoto ni Kaimu Mkurugenzi wa Wilaya ya Kinondoni Bi.Patricia Henjewele,kutoka kulia ni Katibu Tawala wa Wilaya hiyo Bi.Gift Msuya na Naibu Meya wa Manispaa ya Kinondoni Mhe.Manyama Mangaru.[/caption] [caption id="attachment_20396" align="aligncenter" width="750"] Msajili wa Hati Msaidizi kutoka Wizaraya Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi Bi.Brenda Kuringe akijibu swali kutoka kwa watumishi wa sekta ya ardhi katika manispaa ya kinondoni leo katika ziara ya Naibu Waziri wa Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya makazi Mhe.Angelina Mabula alipotembelea kukagua mfumo mpya wa ukusanyaji kodi ya ardhi kwa halmashauri hapa nchini ambapo ameanza na Mkoa wa Dar es Salaam, kulia ni Maafisa kutoka Wizara hiyo.[/caption] [caption id="attachment_20398" align="aligncenter" width="750"] Mkuu wa Kitengo cha Kodi Wizara ya Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi Bw.Denis Masami akitoa maelezo kwa watumishi wa sekta ya ardhi katika manispaa ya kinondoni ambapo Naibu waziri wa Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe.Angelina mabula alifanya ziara mapema leo ikiwa ni ziara ya kukagua mfumo wa ukusanyaji kodi ya ardhi kwa njia ya kielekroniki kwa mkoa wa Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_20399" align="aligncenter" width="750"] Afisa Ardhi Mkuu wa Wizara ya Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi Kanda ya Dar es Salaam na Pwani Bi.Kokwika Ishenkumba akijibu swali lililotoka kwa watumishi wa sekta ya Ardhi wa Manispaa ya Kinondoni wakati wa ziara ya Naibu Waziri wa Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe.Angelina Mabula alipotembelea katika Manispaa hiyo kukagua mfumo mpya wa ukusanyaji kodi ya ardhi kwa halmashauri hapa nchini ambapo ameanza na mkoa wa Dar es Salaam, kushoto ni Msajili wa Hati Msaidizi kutoka Wizaraya Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi Bi.Brenda Kuringe na kulia ni moja ya Watumishi wa Sekta hiyo kwa Manispaa ya Kinondoni.[/caption] [caption id="attachment_20400" align="aligncenter" width="750"] Naibu Waziri wa Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe.Angelina Mabula akiwa katika picha ya pamoja na Maafisa ardhi katika ziara yake ya kutembelea na kukagua mfumo mpya wa ukusanyaji kodi ya ardhi kwa Mkoa wa Dar es Salaam ambapo ameanza na manispaa ya Kinondoni mapema leo. (Picha na Paschal Dotto)[/caption]