Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Dkt. Damas Damian Ndumbaro (mwenye shati la buluu) akizungumza wakati alipotembelea na kukagua eneo la ujenzi wa mradi wa kujenga uwanja wa mpira kwa ajili ya mashindano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON).
Read More