Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Balozi wa India Nchini Tanzania, Mhe. Binaya Srikanta Pradhan, alipowasili Ikulu jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kumuaga baada ya kumaliza muda wake wa kazi nchini, mazungumzo hayo yalifanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar leo 22-12-2023.
Read More