[caption id="attachment_38520" align="aligncenter" width="750"] RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Rais Mstaafu wa Tanzania, Mhe. Ali Hassan Mwinyi, alipowasili katika viwanja vya Maisara Suleiman kuhudhuria hafla ya Maulid ya Kuzaliwa Mtume Muhammad (S.A.W ).[/caption]
NA Abdi Shamnah, Ikulu
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohammed Shein, jana amejumuika na mamia ya waumini wa dini ya Kiislamu kutoka mikoa yote ya Unguja kuadhimisha uzawa wa Mtume...
Read More