Na Veronica Simba – Dodoma
Kazi ya ujenzi wa miundombinu wezeshi kwa ajili ya utekelezaji wa mradi wa kuzalisha umeme kutokana na nguvu za maji ya Mto Rufiji, imefikia hatua nzuri.
Hayo yamebainishwa jana, Novemba 17, 2018 wakati Kamati inayosimamia utekelezaji wa ujenzi wa miundombinu hiyo, ilipokutana na Waziri wa Nishati, Dk. Medard Kalemani, katika Ukumbi wa Mikutano wa Wizara jijini Dodoma na kuwasilisha kwake hatua iliyofikiwa.
Akiwasilisha taarifa hiyo, Mwenyekiti wa Kamati, Juma Iddi alimweleza Waziri Kalemani kuwa kazi ya uj...
Read More