[caption id="attachment_38243" align="aligncenter" width="750"] Spika wa Bunge, Job Ndugai (kulia) akimwapisha , Mbunge wa Simanjiro, James Millya, Bungeni jijini Dodoma, Novemba 15, 2018.[/caption]
[caption id="attachment_38244" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimpongeza, Mbunge wa Ukerewe, Joseph Mkundi baada ya Mbunge huyo kuapishwa, bungeni jijini Dodoma, Novemba 15, 2018.[/caption]
[caption id="attachment_38245" align="aligncenter" width="750"] Spika wa Bunge, Job Ndugai (Kulia) akimwapisha Mbunge wa Ba...
Read More