[caption id="attachment_39243" align="aligncenter" width="1000"] Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa akisalimiana na Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Phillip Mpango alipowasili katika eneo la Mji wa Serikali Ihumwa jijini Dodoma leo tarehe 28 Desemba, 2018 kwa ajili ya kukutana na Mawaziri na Makati Wakuu wa Wizara zote kwa ajili ya kuwapa maelekezo ya kusimamia ujenzi wa Ofisi zao.[/caption] [caption id="attachment_39244" align="aligncenter" width="1000"] Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa akisalimiana na Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu, Maimuna Tarishi alipowasili katika eneo la Mji wa Serikali Ihumwa jijini Dodoma leo tarehe 28 Desemba, 2018 kwa ajili ya kukutana na Mawaziri na Makati Wakuu wa Wizara zote kwa ajili ya kuwapa maelekezo ya kusimamia ujenzi wa Ofisi zao.[/caption] [caption id="attachment_39246" align="aligncenter" width="1000"] Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa akizungumza na Mawaziri na Makatibu Wakuu wa Wizara zote alipokutana nao kwa ajili ya kuwapa maelekezo ya kusimamia kwa ukaribu ujenzi wa Ofisi zao zinapojengwa katika Mji wa Serikali, Ihumwa jijini Dodoma leo tarehe 28 Desemba, 2018.[/caption] [caption id="attachment_39247" align="aligncenter" width="1000"] Baadhi ya Mawaziri, Manaibu Waziri na Makatibu Wakuu wakimsikiliza Waziri Mkuu Kassim Majaliwa alipokutana nao katika eneo unapojengwa Mji wa Serikali Ihumwa jijini Dodoma leo tarehe 28 Desemba, 22018. Waziri Mkuu amekutana na Mawaziri na Makatibu Wakuu hao kwa lengo la kuwapa maelekezo ya kusimamia ujenzi wa Ofisi za Wizara zao uende kwa mujibu wa ratiba.[/caption] [caption id="attachment_39248" align="aligncenter" width="1000"] Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa akisalimiana na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe mara baada ya kumaliza kikao na Mawaziri pamoja na Makatibu Wakuu wa Wizara zote katika eneo unapojengwa Mji wa Serikali Ihumwa jijini Dodoma leo tarehe 28 Desemba,2018. Waziri Mkuu Majaliwa amekutana na Mawaziri na Makatibu Wakuu hao kwa lengo la kuwapa maelekezo ya kusimamia ujenzi wa Ofisi za Wizara zao uende kwa mujibu wa ratiba.[/caption] [caption id="attachment_39249" align="aligncenter" width="1000"] Baadhi ya Mawaziri wakiteta jambo walipokuwa wakimsubiri Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ambaye alikutana nao katika eneo unapojengwa Mji wa Serikali Ihumwa jijini Dodoma leo tarehe 28 Desemba, 2018. Waziri Mkuu Majaliwa amekutana na Mawaziri na Makatibu Wakuu hao kwa lengo la kuwapa maelekezo ya kusimamia ujenzi wa Ofisi za Wizara zao uende kwa mujibu wa ratiba.[/caption] [caption id="attachment_39250" align="aligncenter" width="1000"] Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana na Ajira Anthony Mavunde akimsikiliza Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Dkt. Bilinith Mahenge wakati wakimsubiri Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ambaye alikutana nao katika eneo unapojengwa Mji wa Serikali Ihumwa jijini Dodoma leo tarehe 28 Desemba, 2018. Waziri Mkuu Majaliwa amekutana na Mawaziri na Makatibu Wakuu hao kwa lengo la kuwapa maelekezo ya kusimamia ujenzi wa Ofisi za Wizara zao uende kwa mujibu wa ratiba.[/caption] [caption id="attachment_39251" align="aligncenter" width="1000"] Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe akifurahia jambo na Katibu Mkuu wa Wizara yake Bibi. Susan Mlawi walipokutana katika kikao cha Waziri Mkuu Kassim Majali na Mawaziri pamoja na Makatibu Wakuu wa Wizara zote kilichofanyika katika eneo unapojengwa Mji wa Serikali Ihumwa jijini Dodoma leo tarehe 28 Desemba, 2018.[/caption] [caption id="attachment_39252" align="aligncenter" width="1000"] Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu, Maimuna Tarishi akikagua maendeleo ya ujenzi wa Ofisi ya Wizara ya Madini mara baada ya kumalizika kwa kikao baina yaWaziri Mkuu Kassim Majaliwa, Mawaziri na Makatibu Wakuu wa Wizara zote leo jijini Dodoma. Waziri Mkuu Majaliwa amekutana na Mawaziri na Makatibu Wakuu hao kwa lengo la kuwapa maelekezo ya kusimamia ujenzi wa Ofisi za Wizara zao uende kwa mujibu wa ratiba. Kulia ni Katibu wa Kikosi Kazi cha Kuratibu Serikali kuhamia Dodoma, Mechack Bandawe.[/caption] [caption id="attachment_39253" align="aligncenter" width="1000"] Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu, Maimuna Tarishi akiongoza mashine ya kuchanganya zege alipokuwa akikagua maendeleo ya ujenzi wa Ofisi ya Wizara Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo mara baada ya kumalizika kwa kikao baina ya Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, Mawaziri na Makatibu Wakuu wa Wizara zote leo jijini Dodoma. Waziri Mkuu Majaliwa amekutana na Mawaziri na Makatibu Wakuu hao kwa lengo la kuwapa maelekezo ya kusimamia ujenzi wa Ofisi za Wizara zao uende kwa mujibu wa ratiba. Kushoto ni Katibu wa Kikosi Kazi cha Kuratibu Serikali kuhamia Dodoma, Mechack Bandawe. (Picha na: Frank Shija - MAELEZO, Dodoma)[/caption]