Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Hifadhi ya Jamii, Bw. Omary Mziya akizungumza na wananchi wa Mwanza kuhusu sekta ya hifadhi wakati wa zoezi la uelimishaji umma katika maadhimisho ya Wiki ya Huduma za Fedha Kitaifa yanayofanyika viwanja vya Rock City Mall, Jijini Mwanza, Novemba 22, 2022.
Sehemu ya washiriki na wakazi wa Mwanza wakiwa kwenye viwanja vya Rock City Mall wakimsikiliza Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Hifadhi ya Jamii, Bw. Omary Mziya (hayupo pichani) wakati wa zoezi la uelimishaji umma katika maadhimisho ya Wiki ya Huduma za Fedha Kit...
Read More