Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Wizara ya Fedha na Mipango Zanzibar, Mhe. Dkt. Saada Salum Mkuya (watatu kushoto) akizindua Awamu ya Sita ya Programu ya Maboresho ya Usimamizi wa Fedha za Umma, jijini Dodoma, kulia ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango, Bw. Lawrence Mafuru na kushoto ni Mwakilishi wa Wadau wa Maendeleo, Bi. Milou Vanmulken.
Na Farida Ramadhani na Haika Mamuya, WFM, Dodoma
Serikali imezindua Awamu ya Sita ya Programu ya Maboresho ya Usimamizi wa Fedha za Umma (PFMRP VI) ili kuongeza ufanisi katika kusimamia mapa...
Read More