Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Mhe. Prof. Adolf Mkenda (mwenye shati la buluu katikati) leo tarehe 5 Disemba, 2022 wakati akizungumza na uongozi wa Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili kampasi ya Mlongazila katika Wilaya ya Ubungo mkoani Dar es salaam alipofanya ziara ya kikazi ya siku moja.
Na Mathias Canal, WEST - Dar es salaam
Serikali imeweka bayana dhamira yake ya kuchukua hatua kali za uwajibikaji kwa Maafisa Elimu wa Mikoa, Wilaya, Walimu na maafisa wengine wote wakiwemo askari ambao wamepewa jukumu la kusi...
Read More