Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akiweka Jiwe la Msingi la Mradi wa Ujenzi wa Chanzo cha Maji na Kituo cha Tiba ya Maji cha Butimba uliopo Wilaya ya Nyamagana mkoani Mwanza leo tarehe 14 Septemba, 2022. Kulia ni Waziri wa Maji, Jumaa Aweso, Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Adam Malima na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dkt. Angelina Mabula.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango amewaasa wananchi wa Mkoa wa Mwanza na Tanzania kwa ujumla kuchukul...
Read More