Rais Dkt. Mwinyi Afungua Kongamano la Sekta ya Maji
Sep 14, 2022
Na
Jacquiline Mrisho
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyiakihutubia na kulifungua Kongamano la Sekta ya Maji lililofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja.
Washiriki wa Kongamano la Wadau wa Sekta ya Maji wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia na kulifungua Kongamano hilo lililofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja lililofanyika leo tarehe 14-9-2022
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyiakisoma kipeperushi wakati akitembelea banda la maonesho la Kampuni ya L&T Construction Water Effluent kutoka India,yaliyofanyika katika viwanja vya Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja, wakati wa ufunguzi wa Kongamano la Wadau wa Sekta ya Maji lililofanyika katika ukumbi wa hoteli hiyo leo tarehe 14-9-2022.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Menaja Biashara wa ZECO, Ndg. Thabit Salum Khamis, wakati akitembelea maonesho ya Sekta ya Maji katika viwanja vya Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Unguja wakati wa ufunguzi wa Kongamano la Wadau wa Sekta ya Maji, lililofanyika katika ukumbi wa Hoteli hiyo leo tarehe 14-9-2022