Katibu Mkuu Sekta ya Uchukuzi, Gabriel Migire (kulia) akisaini mkataba wa makubaliano na Katibu Mkuu wa Wizara ya Usafirishaji wa umma kutoka Malawi, Hasting Chiudzu, kuhusu mashirikiano katika usafiri wa njia ya barabara, huduma za bandari katika ziwa Nyasa na uhudumiaji wa mizigo ya Malawi kupitia bandari ya Dar es salaam.
Read More