Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Makamu wa Rais Arejea Nchini Kutokea Angola
Aug 18, 2023
Makamu wa Rais Arejea Nchini Kutokea Angola
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Philip Mpango leo tarehe 18 Agosti, 2023 akiondoka katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa 4 De Fevereiro jijini Luanda nchini Angola mara baada ya kuhitimishwa kwa Mkutano wa 43 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini Mwa Afrika (SADC). (kushoto ni Mke wa Makamu wa Rais Mama Mbonimpaye Mpango)
Na Ofisi ya Makamu wa Rais

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi