Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokea kitabu cha Mpango Kabambe wa Taifa wa Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (2022-2032) kutoka kwa Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais, Bi. Mary Maganga, Ikulu mkoani Dodoma tarehe 17 Agosti, 2023. Mpango Kabambe huo umeandaliwa na Ofisi ya Makamu wa Rais.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais, Bi. Mary Maganga mara baada ya kuwasilisha taarifa ya shughuli zinazofanywa na Ofisi hiyo, Ikulu mkoani Dodoma tarehe 17 Agosti, 2023.
Giza
Mwanga
Chaguo Msingi
Ndogo
Kawaida
Kubwa