Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Rais wa Angola, Joao Lourenco, alipowasili katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Interconinental kuhudhuria Mkutano wa 10 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Nchi za Afrika, Karibian na Pasifiki (OACPS) unaofanyika, Angola jijini Luanda, Disemba 9, 2022. Waziri Mkuu anamwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye mkutano huo.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akisalimiana na Rais wa Zimbabwe, Emmerson Mnangagwa, walipokutana katika Ukumbi wa Kimatai...
Read More