[caption id="attachment_37386" align="aligncenter" width="1000"] Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama akizungumza na Watendaji wa Asasi ya International Youth Fellowship (IYF), walipomtembelea hii leo Oktoba 25, 2018 Jijini Dodoma.[/caption]
[caption id="attachment_37387" align="aligncenter" width="1000"] Mwenyekiti Mshauri wa Asasi ya International Youth Fellowship (IYF), Richard Hong (wa pili kutoka kulia) akimweleze jambo Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bu...
Read More