[caption id="attachment_37396" align="aligncenter" width="750"] Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Atashasta Nditiye akifafanua jambo kwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu wakati wa ziara yake kwenye eneo la ujenzi wa bandari, Bagamoyo mkoani Pwani[/caption] [caption id="attachment_37397" align="aligncenter" width="750"] Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu akigusa eneo la ujenzi wa bandari, Bagamoyo kwenye mchoro huo wakati wa ziara yake mkoani Pwani. Wa pili kushoto ni Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Atashasta Nditiye[/caption] [caption id="attachment_37398" align="aligncenter" width="750"] Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Bandari Tanzania Mhandisi Karim Mataka (wa kwanza kushoto) akimuonesha Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu (wa pili kushoto) mchoro unaoonyesha eneo la ujenzi wa bandari, Bagamoyo wakati wa ziara yake mkoani Pwani. Wa tatu kushoto ni Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Atashasta Nditiye[/caption] [caption id="attachment_37399" align="aligncenter" width="750"] Muonekano wa mchoro wa eneo la ujenzi wa bandari, Bagamoyo wakati wa ziara ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu (hayupo pichani) mkoani Pwani[/caption]