[caption id="attachment_37403" align="aligncenter" width="750"] Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Atashasta Nditiye (wa kwanza kushoto) akisikiliza maelezo kuhusu teknolojia ya “blockchain” kutoka kwa Balozi wa kampuni ya Belfrics BT, Tanzania, Aziz Chonya kabla ya kufungua mkutano wa Pili wa Mwaka wa wataalam wa TEHAMA nchini uliofanyika Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_37404" align="aligncenter" width="750"] Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Atashasta Nditiye (wa kwanza kulia) akimhoji Mtaalam wa Kiufundi wa kampuni ya ICDL, Tanzania Tobias Matiko (wa kwanza kushoto) kabla ya ufunguzi wa mkutano wa Pili wa Mwaka wa WATEHAMA, Dar es Salaam. Wa pili kulia ni Naibu Katibu Mkuu, Mawasiliano Dkt. Jim Yonazi[/caption] [caption id="attachment_37405" align="aligncenter" width="750"] Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Atashasta Nditiye (wa kwanza kulia) akipata maelezo kutoka kwa Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Taifa ya TEHAMA Mhandisi Samson Mwela (wa pili kulia) kuhusu teknolojia mbali mbali zilizopo nchini kabla ya ufunguzi wa mkutano wa Pili wa Mwaka wa wataalam wa TEHAMA uliofanyika Dar es Salaam[/caption]