[caption id="attachment_37424" align="aligncenter" width="1008"] Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbasi na Ujumbe wake wakipewa maelezo ya kiutendaji wa kazi za kila siku zinazofanywa na Shirika la Habari la CCTV na CGTN kutoka kwa mmoja wa viongozi wa juu wa Shirika hilo mapema Jana jijini Beijing, China.[/caption] [caption id="attachment_37426" align="aligncenter" width="750"] Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbasi akiwa katika moja ya chombo cha habari cha Beijing nchini China anakoendelea na ziara yake inayolenga kujifunza, kubadilishana uzoefu na kuimarisha ushirikiano kati ya nchi hizo mbili.[/caption] [caption id="attachment_37427" align="aligncenter" width="1008"] Picha mbalimbali za ziara ya Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbasi na Ujumbe wake alipotembelea vyombo vya habari vya CCTV na CGTN na China Redio Kimataifa Beijing China.[/caption]