Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, Kazi, Uchumi na Uwekezaji Zanzibar, Dkt. Islam Salum akizungumza wakati wa kikao cha Ushauriano baina ya ofisi hiyo na Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Watu wenye Ulemavu kilichofanyika katika Ukumbi wa Ofisi hiyo Oktoba 13, 2022 Mji wa Serikali, Mtumba Jijini Dodoma. Kikao hicho kililenga kujadili utekelezaji wa shughuli zinazotekelezwa na ofisi hizo kwa pande zote mbili.
Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Watu wenye Ulemavu imepata ugeni kutoka Ofisi ya Rais, Kazi, Uchumi na Uwekezaji Zanzi...
Read More